Karibu
zaidi

Vipindi Vyetu

soma zaidi
 • mtaani kwetu

  Africa Swahili TV

  Katika kipindi hiki, wananchi wanapata nafasi ya kueleza kero zao wanazokutana nazo katika mitaa wanayoishi. Hakiishii kwenye upande wa kero tu kwani kwenye kipindi hiki pia utasikia historia za mitaa na maeneo tofauti, burudani wanazopendelea na mengine mengi utapata kuyasikia hapa.

  soma zaidi
 • Tuambie tuicheze

  Africa Swahili TV

  Hiki ni kipindi ambacho mtazamaji au shabiki aliye mtaani anapata nafasi ya kuchagua nyimbo na kuipendekeza iende kwa watu wake na kinaenda sambamba na kutuma salamu kwa watu hao.

  soma zaidi
 • Wajue Watangazaji Wetu

  view more